Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Miti A-D

Usalama wa Lishe kwa Wakulima katika nchi za Hari

Kilimo Mseto
Kukuza Vyakula
Kutunza Mifugo
Lishe boraMiti A-D
Miti E-Z

Picta: AET

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

        

Miti kwa kila eneo

Miti mikubwa, midogo, ngumu, nyepesi.....

Acacia ya sehemu za joto katika nchi za hari Migunga Winrock

Acacia aneura Mgunga DSL86

Acacia aneura Mgunga Winrock

Acacia angustissima Winrock

Acacia auriculiformis Mkesia DSL2

 

Acacia auriculiformis Mkesia Winrock

Acacia elata Mgunga HDRA TTS8

Acacia holosericea Winrock

Acacia koa Winrock

Acacia leucophloea Winrock

 

Acacia mangium Mgunga DSL3

Acacia mangium Mgunga Winrock

Acacia mearnsii Mwati DSL4

Acacia mearnsii Mwati Winrock

Acacia nilotica Mgunga Winrock

 

Acacia saligna Winrock

Acacia senegal Kikwata DSL5

Acacia seyal Mgunga DSL34

Acacia seyal Mgunga Winrock

Acacia tortilis Mgunga DSL19

 

Acacia tortilis Mgunga Winrock

Adansonia digitata Mbuyu DSL109

Adansonia digitata Mbuyu HDRA TTS1

Adenanthera pavonina Winrock

Albizia lebbeck Mkingu DSL7

Albizia lebbeck Mkingu Winrock

 

Albizia odoratissima Mkenge  Winrock

Albizia procera Mchani Mbao Winrock

Albizia saman Mkenge Winrock

Alnus acuminata Winrock

Alnus nepalensis Winrock

 

Anacardium occidentale Korosho DSL11

Anacardium occidentale Mkorosho HDRA TTS3

Andira inermis Winrock

Afzelia quanzensis Mbamba-Kofi DSL31

Artocarpus altilis Mshelisheli HDRA TTS6

Artocarpus heterophyllus Mfenesi HDRA TTS2

Atriplex halimus HDRA TTS4

Atriplex lentiformis HDRA TTS16

Azadirachta indica Mwarobaini DSL12

Azadirachta indica Mwarobaini HDRA

(Kijitabu)

 

Azadirachta indica Mwarobaini Winrock

Azanza garckeana Mtobo DSL79

Balanites aegyptiaca Mjunju DSL21

Balanites aegyptiaca Mkonga HDRA TTS5

Bauhinia purpurea Musaponi HDRA TTS14

Butryospermum parkii HDRA TTS9

 

Calliandra calothyrsus Winrock

Caragana arborescens HDRA TTS7

Cassia spectabilis Mhoba HDRA TTS13

Casuarina cunninghamiana Mvinje Winrock

Casuarina equisetifolia Mvinje DSL14

Casuarina equisetifolia Mvinje Winrock

 

Casuarina glauca Winrock

Casuarina junghuhniana Winrock

Casuarina spp. Mvinje Winrock

Cedrela odorata Mwerezi DSL20

Chamaecytisus palmensis Winrock

 

Cinnamomum camphora Mkafuri DSL23

Cola nitida Kola DSL111

Dalbergia latifolia Kikwaju Winrock

Dalbergia melanoxylon Mpingo Winrock

Dalbergia sissoo Mpungwa Winrock

Delonix regia Mjohoro HDRA TTS18

Dovyalis caffra Mdunga-tundu DSL27

Kumbuka!  Miti ni ya kushangaza!  Miti hutoa mbao za ujenzi wa nyumba, shule na mashua, karatasi za vitabu, kuni ili tupate moto, chakula (majani, matunda, kokwa, shina, mizizi, gome), mafuta ya kupika na ya taa, lishe kwa mifugo, kivuli kwa jamii na mimea, madawa ya kutibu maradhi, dawa za kukabili wadudu ili kutunza mazao yetu.  Kwa wakati mwingine tunatumia yale majimaji ya mti, na aidha tunaendesha magari na mabasi juu yake.  Kwa uchache, miti hurembesha mazingira na kufanya nafsi zetu kuwa na utulivu.   Jifunze mengi kuhusu miti.  Tenga mahali katika bustani au shamba lako.  Tafadhali waeleze marafiki zako, ili nao waweze kutambua umuhimu na uzuri wa miti.  Panda miti kutoka kwa mbegu au vipandikizi.  Jifunze mengi kuhusu chipukizi ya miti iliyotiwa shinani mwa mti mwingine.  Pitisha miche ya ziada kwa majirani wako.  Panda miti kwa ajili ya watoto wako na watoto wao.  Siku za usoni baada ya kuondoka, wataendelea kutoa shukrani kwako!

Ukurasa wetu wa kusakura una matatizo ambayo tunajaribu kurekebisha.  Shida moja ni kwamba hauwezi kutafuta kipengele muhimu katika makala ya kutangua kutoka kwa tuvuti.  Tunatumai kwamba vipengele hivi vitakuelekeza kufika sehemu unayohitaji.

Bango la Mzunze

Boji na Mbolea

Kilimo Mseto

Kukuza Vyakula

Kutunza Mifugo

Lishe bora

Maendeleo ya jamii

Majarida ya Kilimo

Majibu

Mashujaa na anwani za marafiki

Mimea

Miti A-D

Miti E-Z

Teknolojia

Wadudu na Magonjwa

…rudi katika kurasa ya kusakura

Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Miti A-D Miti E-Z

 Jee, unao ujuzi au maarifa unayoweza kuwapatia au kushirikisha na wenzako?  Soma maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kuleta mabadiliko.  Bwenyeza [Ushirika wa ujuzi] kwa maelezo zaidi.

Anwani ya Maelezo:  

Simu na ujumbe mfupi: +44 (0) 785 480 0891 Feksi: +44 (0) 871 243 1587                        Hit Counter

Barua-pepe:  food-security@myway.com (Kiingereza) au pbkamoyani@lycos.co.uk (Kiswahili) tuma maswali, maoni au mapendekezo kuhusu mtandao huu. 


Copyright © 2005 Food-Security.info                  Marekebisho ya mwisho: September 08, 2007