Waweza kusakura mtandao wetu ili
kupata maelezo na majarida yaliyolingana.
Ukurasa wetu wa kusakura una matatizo ambayo tunajaribu kurekebisha.
Shida moja ni kwamba hauwezi kutafuta kipengele muhimu katika makala
ya kutangua kutoka kwa tuvuti. Tunatumai kwamba vipengele hivi
vitakuelekeza kufika sehemu unayohitaji.
Tururu ni kwekwe maarufu iliyo na uwezo wa
kutayarisha dawa ya kukabili wadudu
Mkulima Kalafa Kehato amefunza jamii yake jinsi
ya kutayarisha dawa hii pasipo gharama huku mazao ya mboga yakiimarishwa.
Kidokezo!Kuna
njia nyingi za kusakura mtandao ili kutafuta mengi ambayo hatujajumuisha hapa.Tafakari juu ya maneno muhimu kama pesticide
na Mexican marigold.Jaribu
kuunganisha kwa pamoja kama vile:pesticide
AND "Mexican marigold".Neno `AND' huelekeza tuvuti kutafuta maeneo yaliyo na maneno
hayo kwa pamoja.Alama za taarifa
("") huweka
mexican na
marigold pamoja ili usipate maelezo mengi usiyohitaji kuhusu Mexico au marigold
zingine.Utapata fursa ya kusakura
mtandao wa tandaridhi, tuvuti katika nchi yako au mtandao unaofikia.Kuchagua kwa uangalifu hurahisisha kazi yako.
Jee,
unao ujuzi au maarifa unayoweza kuwapatia au kushirikisha na wenzako?Soma maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kuleta mabadiliko.Bwenyeza [Ushirika
wa ujuzi] kwa maelezo zaidi.