Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Jamii

Usalama wa Lishe kwa Wakulima katika nchi za Hari

Jamii
Majarida ya Kilimo
Mashujaa na anwani
Teknolojia
Ushirika wa ujuzi

Picta: Tearfund Pillars

Capacity Building

 

  

  Maendeleo ya Jamii

Jamii inayo fanikiwa ni kama klabu ya Mpira yenye mafanikio. Kila mwanachama ana kazi ya pekee, bado kila mmoja anwasaidia wengine kazi zao. Zaidi ya yote kunakuwa na naodha anaye waongoza wachezaji wenzake na anaheshimika nao... na kwa sababu ya mchezo wa umoja, jumla ni kubwa kuliko idadi ya watu binafsi.  Kama huamini hilo, angalia mzinga wa nyuki, kilima cha mchwa au maringo ya simba wakiwinda pamoja.

Miongoni mwa binadamu, kuna jamii nyingi, siyo wote wenye mafanikio, wengine ni biashara, wengine wana vijiji, hospitali, shule au nchi. Habari hizi ni za kuwasaidia kujenga umoja wenu kuwa jamii yenye mafanikio. Kila kheri.

Kuhamasisha elimusiha nzuri na udhibiti afya PILLARS

Sehemu 1

Sehemu 2

Sehemu 3

Sehemu 4

 

Kuhamasisha Jamii PILLARS

Sehemu 1

Sehemu 2

 

 

Kujenga Uwezo PILLARS

Sehemu 1 (244kb)

Sehemu 2 (385 kb)

Sehemu 3 (374kb)

Sehemu 4 (350kb)

Sehemu 5 (417kb)

Sehemu 6 (256kb)

Kutafuta viongozi halisi Footsteps 48

Kujiandaa ili kukabili janga                                   PILLARS

Sehemu 1

Sehemu 2

Sehemu 3

Sehemu 4

Sehemu 5 - Somo ya Biblia

 

Mikopo kwa Biashara PILLARS

Sehemu 1 (194kb)

Sehemu 2 (544 kb)

Sehemu 3 (461kb)

Sehemu 4 (589kb)

Sehemu 5 (598kb)

Sehemu 6 (615kb)

Sehemu 6 (56kb)

Visisimizi Muhimu Footsteps 60

Wanawake wa vijijini na swala la lishe Footsteps 32

Shukrani za pekee kwa msaada wa wa kurasa hizi ziwaendee Shirika la Uiingereza, Tearfund, kwa nyongeza yao ya "Miongozo ya Nguzo" inayoonekana hapa. Tearfund inatoa Jarida la maendeleo la Nyayo. Linalo chapishwa kila baada ya miezi mitatu, kila toleo linasisitiza juu ya maendeleo tofauti tofauti ya maendeleo ya Jamii yakiwemo Maji, Afya, Elimu, Lishe na habari nyingine nyingi. Kuangalia ( na kufungua) matoleo ya nyayo yaliyopita na kujua namna ya kuyapata matoleo yajayo nenda http://tilz.tearfund.org/publications/ kwenye mtandao huo huo utapata mlolongo wa vitabu chini ya kichwa cha habari kikubwa vinavyoitwa "Mizizi" kusaidia watumishi wa maendeleo.

Ukurasa wetu wa kusakura una matatizo ambayo tunajaribu kurekebisha.  Shida moja ni kwamba hauwezi kutafuta kipengele muhimu katika makala ya kutangua kutoka kwa tuvuti.  Tunatumai kwamba vipengele hivi vitakuelekeza kufika sehemu unayohitaji.

Bango la Mzunze

Boji na Mbolea

Kilimo Mseto

Kukuza Vyakula

Kutunza Mifugo

Lishe bora

Maendeleo ya jamii

Majarida ya Kilimo

Majibu

Mashujaa na anwani za marafiki

Mimea

Miti A-D

Miti E-Z

Teknolojia

Wadudu na Magonjwa

…rudi katika kurasa ya kusakura

Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Jamii Majarida ya Kilimo Mashujaa na anwani Teknolojia Ushirika wa ujuzi

 Jee, unao ujuzi au maarifa unayoweza kuwapatia au kushirikisha na wenzako?  Soma maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kuleta mabadiliko.  Bwenyeza [Ushirika wa ujuzi] kwa maelezo zaidi.

Anwani ya Maelezo:  

Simu na ujumbe mfupi: +44 (0) 785 480 0891 Feksi: +44 (0) 871 243 1587          Hit Counter

Barua-pepe:  food-security@myway.com (Kiingereza) au pbkamoyani@lycos.co.uk (Kiswahili) tuma maswali, maoni au mapendekezo kuhusu mtandao huu. 


Copyright © 2005 Food-Security.info                  Marekebisho ya mwisho: September 08, 2007