Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Ushirika wa ujuzi

Usalama wa Lishe kwa Wakulima katika nchi za Hari

Jamii
Majarida ya Kilimo
Mashujaa na anwani
Teknolojia
Ushirika wa ujuzi

Aliyetafsiri:

Picta: AET

Patrick Bunyali

Vihiga

Western Kenya

Aliyetafsiri:

Picta: AET

Arthur Mbumbuka

Mbeya

Tanzania

 

Nyota Mbili!!!!

         

"..........Yeyote aliye na uwezo wa kuwezesha kuwepo kwa gunzi mbili za mahindi au matawi mawili ya nyasi kuota katika eneo ambalo awali lilikuwa na uwezo, anastahili utu bora, na heshima kwa jambo hilo la dharura kwa taifa lake kuliko idadi nzima ya wanasiasa wakiwekwa pamoja."

 Gulliver’s Travels, ‘Voyage to Brobdingnag’   Jonathan Swift   1667-1745

Chapa yetu ni `gunzi mbili za mahindi'.  Tunatafuta watu ambao watapata mengi kutoka kwa tuvuti hii na labda kuchangia machache.  Kwa hakika tunataka:

bullet

Wafasiri  (Wafasiri wataweza kutafsiri kwenye lugha za mama.)

bullet

Wataalamu  (Watu walio na ujuzi na mafunzo katika kilimo, lishe la mifugo n.k.)

bullet

Ujuzi wa Tarakilishi  (Watu walio na ujuzi wa kutumia tarakilishi kwa kuchapisha kazi ya wafasiri na wataalamu.)

Iwapo unataka kujiunga nasi tuandikie kupitia food-security@myway.com na utueleze machache kuhusu maarifa yako.

Kwa hivi sasa tunatoa majarida na maelezo kwenye lugha ya Kingereza na Kiswahili.  Yamkini majarida na maelezo katika lugha zingine yaweza kujumuishwa hapa.  Litakuwa ni jukumu la kundi lililo na ujuzi uliotajwa hapo juu kusikizana jinsi ya kutafsiri katika lugha yao.   Lugha kuu duniani kama vile Kifaransa, Kihispania na Kichina yaweza kuwa muhimu sana, hata hivyo lugha nyinginezo zitakaribishwa.  Iwapo wataka kuanzisha kundi kama hili, tafadhali andikia food-security@myway.com (tafadhali katika lugha ya Kingereza!) na maelezo kamili.

 Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Jamii Majarida ya Kilimo Mashujaa na anwani Teknolojia Ushirika wa ujuzi

  Semi za Wakulima: Mwenye kuvumilia hufurahia siku zake.

Anwani ya Maelezo:  

Simu na ujumbe mfupi: +44 (0) 785 480 0891 Feksi: +44 (0) 871 243 1587                        Hit Counter

Barua-pepe:  food-security@myway.com (Kiingereza) au pbkamoyani@lycos.co.uk (Kiswahili) tuma maswali, maoni au mapendekezo kuhusu mtandao huu. 


Copyright © 2005 Food-Security.info                  Marekebisho ya mwisho: September 08, 2007