Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Mashujaa na anwani

Usalama wa Lishe kwa Wakulima katika nchi za Hari

Jamii
Majarida ya Kilimo
Mashujaa na anwani
Teknolojia
Ushirika wa ujuzi

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

        

Mtandao huu hauwezi kuwepo pasipo ukarimu, ujuzi na kazi bora ya mashirika kote ulimwenguni.  Ni sehemu ya kazi zao ambayo imejumuishwa hapa.  Kwa maelezo zaidi (na kudondoa) fuata maelekezo:

Kituo cha Ushauri Nasaha, Lishe na Afya COUNSENUTH - (Centre for Counseling, Nutrition and Health Care), ni shirika lisilo la serikali nchini Tanzania ambalo dhamira yake ni kuendeleza afya, lishe na maisha ya Watanzania. Hasa kwa kuendeleza huduma za kuzuia magonjwa, lishe bora, na ushauri nasaha katika kiwango cha jamii. Lishe bora ni muhimu kwa kila mmoja katika kudumisha afya. Na, kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI, lishe bora laweza kuzuia maambukizo zaidi na kuimarisha kinga yao. Kituo cha COUNSENUTH kimetambua kwamba ufahamu wa lishe bora huchochewa na umaskini, tamaduni na mila, au hata itikadi na kukosa maelezo sahihi. Kwa kushirikiana na mashirika mengine nchini Tanzania, kituo cha COUNSENUTH kimeweza kuendeleza na kuratibu hitaji la lishe bora kwa Wananchi, kupitia kwa ujumbe: Lishe bora ni muhimu katika kutunza na kuwasaidia watu walio na virusi vya UKIMWI. Kituo hiki kina tarajia kupata wavuti hivi karibuni: www.counsenuth.org  

ECHO:  Mtandao kuhusu Suluhisho la tatizo la Njaa Duniani.  Kwa tuvuti la kimataifa tembelea:  www.echotech.org  Mtandao wa ECHO unatoa maelezo mengi ya dhamani.  Shirika la ECHO halikadhalika huchapisha jarida kila baada ya miezi mitatu `ECHO Development Notes'.

Forest & Landscape Denmark:  Shirika hili limechapisha makala (katika Kingereza) na kutoa maelezo ya zaidi ya jamii 100 za miti na majarida mengine muhimu.  Kwa maelezo zaidi tembelea: <Bwenyeza hapa>  -  na panapo uwezekano bwenyeza `Kingereza'.

Kwa mafunzo na maelezo au raslimali jaribu:

http://www.dfsc.dk/extensionstudy/index.html

HDRA - Henry Doubleday Research Association http://www.hdra.org.uk/international_programme/index.htm hufungua kurasa za huduma za kimataifa.   Shirika la HDRA limejishughulisha na kilimo hai tangu mwaka wa 1954 na kutoa maelezo kwa nchi za ng'ambo.

ICRAF- World Agroforestry Centre (ICRAF) http://www.worldagroforestry.org/ utafungua tuvuti ya shirika maarufu ulimwenguni linaloongoza katika sayansi na utafiti kuhusu `miti muhimu' na kilimo cha mseto kwenye mashamba madogo.

Shirika la ICRAF limeshirikisha utafiti na mbinu bora za kisayansi katika kukabiliana na umaskini, njaa na matatizo ya mazingira kote katika nchi za hari.    Maelezo muhimu na dharura yaweza kupatikana kwa kutazama http://www.worldagroforestry.org/Sites/TreeDBS/aft.asp

KIOF- Kenya Institute of Organic Farming

[bwenyeza hapa]   hujishughulisha na kilimo hai hasa katika nchi za hari.

Ukurasa wetu wa kusakura una matatizo ambayo tunajaribu kurekebisha.  Shida moja ni kwamba hauwezi kutafuta kipengele muhimu katika makala ya kutangua kutoka kwa tuvuti.  Tunatumai kwamba vipengele hivi vitakuelekeza kufika sehemu unayohitaji.

Bango la Mzunze

Boji na Mbolea

Kilimo Mseto

Kukuza Vyakula

Kutunza Mifugo

Lishe bora

Maendeleo ya jamii

Majarida ya Kilimo

Majibu

Mashujaa na anwani za marafiki

Mimea

Miti A-D

Miti E-Z

Teknolojia

Wadudu na Magonjwa

…rudi katika kurasa ya kusakura

Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Jamii Majarida ya Kilimo Mashujaa na anwani Teknolojia Ushirika wa ujuzi

 Jee, unao ujuzi au maarifa unayoweza kuwapatia au kushirikisha na wenzako?  Soma maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kuleta mabadiliko.  Bwenyeza [Ushirika wa ujuzi] kwa maelezo zaidi.

Anwani ya Maelezo:  

Simu na ujumbe mfupi: +44 (0) 785 480 0891 Feksi: +44 (0) 871 243 1587                        Hit Counter

Barua-pepe:  food-security@myway.com (Kiingereza) au pbkamoyani@lycos.co.uk (Kiswahili) tuma maswali, maoni au mapendekezo kuhusu mtandao huu. 


Copyright © 2005 Food-Security.info                  Marekebisho ya mwisho: September 08, 2007