Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Majarida ya Kilimo

Usalama wa Lishe kwa Wakulima katika nchi za Hari

Jamii
Majarida ya Kilimo
Mashujaa na anwani
Teknolojia
Ushirika wa ujuzi

Kilimo Mseto
Kukuza Vyakula
Kutunza Mifugo
Lishe bora

 

 

 

 

 

 

 

        

Picta: AET

Katika ukurasa huu utapata dondoo zinazohusu mbinu na mifumo ya kilimo- kilimo cha mseto, ufugaji, mbolea ya boji, madawa ya kiasili, lishe na kukabili wadudu na magonjwa.

 

Maelezo haya yamejumuishwa kwenye jarida moja.  Iwapo makala ni mengi kiasi cha kuwepo matatatizo katika kudondolewa, tumegawanya kwenye sehemu ndogo.

Wakulima nchini Kenya wakishahuriana na kushirikisha ujuzi na maarifa

Bustani Lililoinuliwa ECHO (681kb)

Kilimo Hai Sehemu ya 1  HDRA (482kb)

Kilimo Hai Sehemu ya 2  HDRA (734kb)

Kilimo Hai Sehemu ya 1a (Kilimo Hai) KIOF [218kb]

Kilimo Hai Sehemu ya 1b (Kilimo Hai) KIOF [172kb]

Kilimo Hai Sehemu ya 1c (Kilimo Hai) KIOF [144kb]

Kilimo Hai Sehemu ya 1d (Kilimo Hai) KIOF [177kb]

Kilimo Hai Sehemu ya 2a (Kukabili wadudu) KIOF [145kb]

Kilimo Hai Sehemu ya 2b (Kukabili wadudu)KIOF [128kb]

Kilimo Hai Sehemu ya 3a (Mazao) KIOF [90kb]

Kilimo Hai Sehemu ya 3b (Mazao) KIOF [174kb]

Kilimo Hai Sehemu ya 3c (Mazao) KIOF [160kb]

Kilimo cha Nyanda za Juu - Maelezo Mahsusi ECHO

Kutunza Maeneo Anuwai Mtindo 1 GAIA21

Kutunza Maeneo Anuwai Mtindo 2 GAIA21

Kutunza Maeneo Anuwai Mtindo 3 GAIA21

Maelezo ya Kimsingi Kuhusu Kilimo cha Mashamba Madogo ECHO

Raslimali za mashamba madogo ECHO

Ukulima kwa Afya KIOF [829kb]

Ili kudondoa maelezo zaidi bwenyeza kwenye kielekezi kilicho upande wa kushoto.

Kidokezo!  Hauhitaji kufungua jarida au makala ili kudondoa.  Elekeza tu kile kielekezi cha tarakilishi kwenye maelezo unayohitaji.  Kielekezi kitachukua umbo la mkono.  Bwenyeza kulia!  Katika jedwali la maelezo, bwenyeza `Save Target As...' Kielekezi cha `Save As' kitajitokeza.  Chagua mahali pa kuweka dondoo ya makala uliyochagua- hard disk, floppy disk, CD Rom nakadhalika.  Jina la makala unayochukua litaonekana mara moja.  Bwenyeza `Save' tarakilishi itatekeleza jukumu lake.  Kwa njia hii utadondoa makala mengi pasipo kupoteza saa na pesa.

Ukurasa wetu wa kusakura una matatizo ambayo tunajaribu kurekebisha.  Shida moja ni kwamba hauwezi kutafuta kipengele muhimu katika makala ya kutangua kutoka kwa tuvuti.  Tunatumai kwamba vipengele hivi vitakuelekeza kufika sehemu unayohitaji.

Bango la Mzunze

Boji na Mbolea

Kilimo Mseto

Kukuza Vyakula

Kutunza Mifugo

Lishe bora

Maendeleo ya jamii

Majarida ya Kilimo

Majibu

Mashujaa na anwani za marafiki

Mimea

Miti A-D

Miti E-Z

Teknolojia

Wadudu na Magonjwa

…rudi katika kurasa ya kusakura

Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Jamii Majarida ya Kilimo Mashujaa na anwani Teknolojia Ushirika wa ujuziKilimo Mseto Kukuza Vyakula Kutunza Mifugo Lishe bora

 Jee, unao ujuzi au maarifa unayoweza kuwapatia au kushirikisha na wenzako?  Soma maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kuleta mabadiliko.  Bwenyeza [Ushirika wa ujuzi] kwa maelezo zaidi.

Anwani ya Maelezo:  

Simu na ujumbe mfupi: +44 (0) 785 480 0891 Feksi: +44 (0) 871 243 1587                        Hit Counter

Barua-pepe:  food-security@myway.com (Kiingereza) au pbkamoyani@lycos.co.uk (Kiswahili) tuma maswali, maoni au mapendekezo kuhusu mtandao huu. 


Copyright © 2005 Food-Security.info                  Marekebisho ya mwisho: September 08, 2007