Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Kukuza Vyakula

Usalama wa Lishe kwa Wakulima katika nchi za Hari

Kilimo Mseto
Kukuza Vyakula
Kutunza Mifugo
Lishe bora

Boji na Mbolea
Mimea
Wadudu na Magonjwa

 

        

Ukuzaji wa vyakula huhitaji:

Aina ya mmea,

ujuzi wa kuzalisha na mchanga unaofaa aina ya mmea,

ufahamu kuhusu mahasimu na jinsi ya kukabili.

Tumegawanya `Ukuzaji wa Vyakula' kwenye sehemu hizi.  Ili kudondoa na kupata nakala, bwenyeza vielekezi vilivyo kando.

Picta: AET

Mkulima Simon Asava akitumia mtambo wa Approtec kunyunyizia vyakula kwa matumizi ya jamii.

 

Picta: AET

 

Miaka miwili iliyopita Simon alipata maelezo kuhusu kilimo mseto na mimea ya kuimarisha rutuba na naitrojeni.  Hivi sasa Simon aligeuza shamba lake ndogo kuwa lenye rutuba nyingi.

Ukurasa wetu wa kusakura una matatizo ambayo tunajaribu kurekebisha.  Shida moja ni kwamba hauwezi kutafuta kipengele muhimu katika makala ya kutangua kutoka kwa tuvuti.  Tunatumai kwamba vipengele hivi vitakuelekeza kufika sehemu unayohitaji.

Bango la Mzunze

Boji na Mbolea

Kilimo Mseto

Kukuza Vyakula

Kutunza Mifugo

Lishe bora

Maendeleo ya jamii

Majarida ya Kilimo

Majibu

Mashujaa na anwani za marafiki

Mimea

Miti A-D

Miti E-Z

Teknolojia

Wadudu na Magonjwa

…rudi katika kurasa ya kusakura

Home Habari Kusakura Majibu Yaliyomo English (Kiingereza)

Kilimo Mseto Kukuza Vyakula Kutunza Mifugo Lishe bora

Boji na Mbolea Mimea Wadudu na Magonjwa

 Jee, unao ujuzi au maarifa unayoweza kuwapatia au kushirikisha na wenzako?  Soma maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kuleta mabadiliko.  Bwenyeza [Ushirika wa ujuzi] kwa maelezo zaidi.

Anwani ya Maelezo:  

Simu na ujumbe mfupi: +44 (0) 785 480 0891 Feksi: +44 (0) 871 243 1587                Hit Counter

Barua-pepe:  food-security@myway.com (Kiingereza) au pbkamoyani@lycos.co.uk (Kiswahili) tuma maswali, maoni au mapendekezo kuhusu mtandao huu. 


Copyright © 2005 Food-Security.info                  Marekebisho ya mwisho: September 08, 2007